Khatibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran huko Geneva inapasa kuwa makini na kwamba inapasa kuendelea na mazungumzo hayo ya nyuklia na kundi la 5+1 katika kalibu ya kuhifadhiwa maslahi ya taifa la Iran.
Habari ID: 1353133 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/11